- 157 viewsDuration: 4:50Daktari Becky Omollo aliathirika na saratani ya titi lakini akanusurika na hatari ya ugonjwa huo. Ni kutokana na masaibu ya wanaougua saratani ndio ambapo Dkt Becky ambaye amejitolea kuwalisha, kuwatafutia matibabu kuwafungulia biashara na hata kuwalipia bima ya SHA wagonjwa wa saratani katika kaunti ya Uasin Gishu. Dkt Becky ndiye tunayemvisha taji la mwanamke bomba wiki hii