DAP-K kimeamua kuunda jopo maalum la malalamishi

  • | Citizen TV
    72 views

    Katika juhudi za kumaliza mzozo unaoendelea, chama cha DAP-K kimeamua kuunda jopo maalum ya kushughulikia malalamishi yaliyoibuka kuhusu uongozi wa chama hicho. DAP-K sasa inadai kuwa kuna mpango wa rais william ruto kuingilia na kuvuruga chama hicho