- 69 viewsDuration: 3:02Makundi ya vijana mjini Machakos yametishia kuandamana kila siku kuwashinikiza wawakilishi wadi kupitisha kikamilifu bajeti ya shilingi bilioni 17.8 ya mwaka wa fedha wa 2026/2027. Vijana hao wamewakashifu spika wa bunge la kaunti Ann Kiusya na baadhi ya wawakilishi wadi kwa kulemaza maendeleo baada ya bunge hilo kuidhinisha asilimia 50 ili kufadhili shughuli muhimu badala ya kupitisha bajeti hiyo kikamilifu. Taarifa zaidi ni kwenye mseto wa magatuzi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive