18 Sep 2026 1:09 pm | Citizen TV 27,520 views Duration: 1:36 Watu wawili ambao ni Mwalimu na mwanafunzi wake wamefariki baada ya kuhusika kwenye ajali ya Ndege ya chuo cha urubani cha kenya katika aneo la Kipeto, Kajiado Magharibi