- 101 viewsDuration: 3:05Wakuu wa chuo anuwai cha kitaifa cha Kiambu wameridhishwa na mpango wa serikali wa ufadhili wa vyuo vinavyotoa mafunzo ya kiufundi wakisema hatua hiyo imechangia pakubwa kuongezeka kwa idadi ya wanafunzi. Msimamizi wa chuo hicho Sammy Waititu amesema ufadhili huo umekiwezesha chuo hicho kusajili idadi kubwa ya wanafunzi. Hizi na habari nyingine ni katika mkusanyiko wa taarifa za dira ya kaunti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News