Skip to main content
Skip to main content

Dkt. Harun Issack Hassan: Ripoti ya Infotrak haitoi taswira kamili ya maoni ya wananchi

  • | TV 47
    72 views
    Duration: 7:57
    Joto la Siasa "Ripoti ya Infotrak inatuchanganya kama wananchi kwa sababu haitoi taswira kamili. Tukirejea mwaka 2022, walitoa utafiti wa maoni wakionyesha kuwa Raila Odinga na Azimio wangeongoza kwa tofauti kubwa, lakini matokeo halisi hayakuwa hivyo. Hivyo basi, ripoti hii inazua maswali kuhusu namna sampuli zilivyoteuliwa na iwapo zinawakilisha maoni ya wananchi kwa ujumla. Kwa mtazamo wangu, ripoti hii si uwakilishi kamili wa hali halisi." — Dkt. Harun Issack Hassan, Mtaalamu wa Uongozi #TV47Habari #StoryNiYetu @Kilemi_Andrine Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __