- 3,962 viewsDuration: 3:18Mwenyekiti kwa Kampuni ya Royal Media Services DKT SK Macharia leo amezuru kaburi la waziri mkuu wa zamani marehemu Raila Odinga na kutoa heshima zake za mwisho kwa Rafiki na mwandani wake wa muda mrefu. Dakta SK Macharia aliweka maua katika Kaburi lake huko Kang'o Ka Jaramogi huko Bondo na kisha kuifariji familia yake