DRC: Mkuu wa Kituo cha Volcano aeleza hatari inayoendelea kuukabili mji wa Goma

  • | VOA Swahili
    264 views
    Ungana na mwandishi wetu akikuletea ripoti ya uchunguzi unaoendelea katika mji wa Goma kuhusu milima ambayo ina volcano iliyohai ambayo wataalam wanasema ni hatari kwa maisha ya wakazi wa eneo hilo. Sikiliza maelezo ya Mkuu wa Kituo cha Volcano kuhusu hali halisi ya milima hiyo na hatua zinazo chukuliwa kuwatahadharisha wakazi wa eneo hilo. Sikiliza ripoti kamili... #goma #drc #volcano #raia #milima #nyiragongo #mlipuko #voa #voaswahili - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.