Droni za Russia zashambulia Odesa zikiharibu kiwanda na miundombinu
Ndege zisizo kuwa na rubani zimeshambulia kwa mabomu Odesa usiku wa Jumatano (Januari 24), zikiharibu majengo ya makazi ya watu, jengo la kiwanda na miundombinu ya uraiani, kulingana na taarifa za maafisa.
Gavana wa mkoa wa Odesa Oleh Kiper alisema kupitia mtandao wa Telegram kuwa watu wanne walijeruhiwa wakati wa shambulizi hilo katika mji wa bandari ulioko Black Sea.
Russia ilirusha droni 14 na makombora matano kushambulia Ukraine usiku kucha, jeshi la anga la Ukraine lilisema Alhamisi (Januari 25), kuwa mifumo ya ulinzi wa anga ilitungua droni 11.
Jeshi la anga lilisema kupitia ujumbe wake wa Telegram kuwa Russia ililenga zaidi kusini mwa Ukraine. - Reuters
#rais #vladimirputin #uhaini #wagner #usaliti #russia #joebiden #marekani #wagnergroup
13 Aug 2025
- The president had previously hosted thousands of youths at State House.
13 Aug 2025
- China expects to import 2,000 tonnes of macadamia by the end of the year.
13 Aug 2025
- The MP has shown interest in running for governor of Nairobi.
13 Aug 2025
- President William Ruto on Wednesday assented to the County Allocation of Revenue Bill, 2025, and the County Public Finance Laws (Amendment) Bill, 2023.
13 Aug 2025
- The ruling follows a petition filed by four individuals, among them Nakuru-based surgeon Dr. Benjamin Gikenyi, challenging the legality of the committee appointed to audit pending NHIF claims.
13 Aug 2025
- The president had previously hosted thousands of youths at State House.
13 Aug 2025
- China expects to import 2,000 tonnes of macadamia by the end of the year.
13 Aug 2025
- "Tusiharibu game tumestruggle sana kuijenga.”
13 Aug 2025
- The PROMISES!
13 Aug 2025
- Senior officials from the British Army Training Unit Kenya (BATUK) failed to appear in Parliament on Tuesday to answer questions about the atrocities their soldiers have committed in the country.
13 Aug 2025
- African officials and experts have warned that the unpredictability of U.S. trade policy fuels uncertainty for the continent's development.
13 Aug 2025
- For those with visual impairments, female ownership is slightly higher at 70.8% compared to males at 66.1%.
13 Aug 2025
- Staying in touch with friends and family accounts for 60.2% of usage.