Droo ya mchuano wa FKF

  • | Citizen TV
    447 views

    Bingwa mtetezi wa taji la FKF Cup Kakamega Homeboyz itaanza kampeni ya kutetea taji lake dhidi ya timu ya Solian City kwenye raundi ya 32 ya mchuano huo.