Duale asema waporaji wa fedha za SHA kuchukuliwa hatua wiki ijayo

  • | Citizen TV
    1,486 views

    Waziri wa afya Aden Duale sasa anasema watuhumiwa wa uporaji wa fedha za SHA watakamatwa wiki ijayo. Duale amesema serikali haitalegeza kamba kwenye vita dhidi ya hospitali zinazoendeleza wizi wa pesa za SHA. Alisema hayo huko Narok ambako aliandamana na msaidizi wa Rais, Farouk Kibet