Duka la jumla la Carrefour limetozwa faini ya shilingi bilioni 1.1

  • | KBC Video
    19 views

    Duka la jumla la Carrefour limetozwa faini ya shilingi bilioni 1.1, kwa kutumia mamlaka yake vibaya kuhusiana na makubaliano ya ununuzi wa bidhaa kati yake na wauzaji wake wawili wa bidhaa ambao ni Pwani Oil Products Limited na Woodlands Company Limited. Mkurugenzi mkuu wa halmashauri ya kudhibiti ushindani hapa nchini-CAK, Adano Wario alisema ingawa biashara zina uhuru wa kuafikia kandarasi baina yao, makubaliano yenyewe hayafai kunyanyasa pande dhaifu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News