Dunia Wiki Hii I Aliyekuwa rais wa Nigeria Buhari aaga dunia I 19th July 2025

  • | KBC Video
    105 views

    Katika makala ya juma hili,

    Chamko la ugonjwa wa kipindupindu katika jamhuri ya DR Congo lafikia viwango vya kusitikisha huku visa vya maambukizi vikiendelea kuongezeka.

    Aliyekuwa rais wa Nigeria Buhari aaga dunia akiwa na umri wa miaka 82 kwenye hospitali moja jijini London na baadaye kuandaliwa mazishi ya kiserikali.

    Yamkini watu 129 waaga dunia kufuatia mafuriko huko Texas, marekani.

    Rais Trump wa marekani asema ataziwekea ada Indonesia na Canada.Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News