Rais wa Kenya Ruto amtaka Raila kukubali bunge kutatua mzozo wa uchaguzi

  • | VOA Swahili
    4,815 views
    Rais wa Kenya William Ruto amemwambia kiongozi wa upinzani Raila Odinga akubali juhudi za bunge kutatua mzozo wa uchaguzi au akubali uchaguzi mwengine 2027. Wakristo kote ulimwenguni wanajiandaa na sikukuu ya Pasaka... Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari