NTV Mashinani: Vijana kutoka Narok wajiajiri kwa kuuza mahindi ya kuchoma kando ya barabara kuu

  • | NTV Video
    488 views

    Vijana wengi kutoka eneo la Nairegia Enkare, kaunti ya Narok, wamechukua hatua ya kujiajiri kwa kuuza mahindi ya kuchoma kando ya barabara kuu kutoka Narok kuelekea Nairobi.

    Pata taarifa hii na nyinginezo kutoka maeneo tofauti ya Kenya.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya