Mawakili wa Rais wa zamani Trump waanza kazi ya utetezi katika kesi ya jinai yenye chunguzi kadhaa

  • | VOA Swahili
    4,249 views
    Katika kesi hii inayomkabili wachambuzi wanaangalia mustakbali wa Rais Trump kisiasa. Endelea kusikiliza... Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.