Rais Joe Biden amaliza ziara yake ya Ireland Kaskazini na Jamhuri ya Ireland

  • | VOA Swahili
    2,509 views
    Rais wa Marekani Joe Biden anamaliza ziara yake katika Ireland ya Kaskazini na Jamhuri ya Ireland ambapo alizungumza katika bunge mjini Dublin. Mwanajeshi wa kikosi cha anga wa Marekani aliyedukua nyaraka za siri za Pentagon kusomewa mashtaka Ijumaa. #voa #voaswahili #rais #marekani #joebiden #udukuzi #nyarakazasiri #mfanyakazi #jeshilaanga Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.