EACC isimamisha uchukuzi wa ardhi ya chuo cha mafunzo ya kilimo, Nakuru na benki ya ECObank

  • | NTV Video
    44 views

    Tume ya kupambana na ufisadi nchini EACC imesimamaisha kupigwa mnada kwa ardhi ya chuo cha mafunzo ya kilimo mjini Nakuru iliyokuwa imechukuliwa kama ufadhili na benki ya ECO bank kwenye deni la shilingi milioni 40 la kampuni ya mafuta ya hashi. Hii inatokana na amri iliyowasilishwa na mahakama kuu ya nakuru hii leo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya