EACC na UNODC zimeandaa kongamano

  • | Citizen TV
    174 views

    Kongamano la tatu la kukabili ufisadi ambalo limeshirikisha tume ya maadili na kupambana na ufisadi - EACC- pamoja na shirika la umoja w amataifa kuhusu dawa za kulevya na uhalifu - UNODC- limeng'oa nanga jijini Nairobi. EACC Inatoa taarifa kuhusu kesi za ufisadi nchini ziliwemo zile zinazowahusisha maafisa wakuu wa serikali kuu na za kaunti.