EACC: Wizara ya usalama wa ndani ndiyo fisadi zaidi nchini

  • | NTV Video
    60 views

    Wizara ya usalama wa ndani ndiyo fisadi zaidi nchini. huduma ya polisi nayo ndiyo fisadi zaidi kwa idara za serikali. hii ni kulingana na ripoti ya tume ya maadili na kukabili ufisadi EACC

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya