Mama aelezea madhila baada ya kuachiwa malezi na mwanajeshi wa BATUK

  • | NTV Video
    510 views

    Huku kesi ya kuwatambua baba wa watoto waliozaliwa na wanajeshi wa Uingereza wa BATUK ikiendelea, leo tunaangazia habari za mama mmoja aliyepatwa na tatizo hili la kuachiwa malezi na anaye elezea zaidi kuhusu madhila anayopitia.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya