- 813 viewsDuration: 56sTume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) inamzuilia msimamizi wa Usajili wa Ardhi wa kaunti ya Busia, Collins Aiela Liyayi kwa madai ya kupokea mlungula wa shilingi 10,000 ili atoe hatimiliki ya ardhi aliyokuwa anazuilia.