Skip to main content
Skip to main content

EACC yaonya maafisa wa umma kuhusu kampeni za mapema

  • | Citizen TV
    823 views
    Duration: 2:53
    Tume ya Maadili na kupambana na Ufisadi EACC Imetoa onyo kwa baadhi ya maafisa wa serikali wanaojihusisha na Siasa na Kampeni wakisema kwamba hatua hiyo hairuhusiwi Kikatiba. EACC pia imetaka mabadiliko ya kisheria kufanyika kuwaondoa mamlakani wanasiasa waliopatikana na hatia wakiwa mahakamani.