- 527 viewsDuration: 2:33Tume ya kupambana na ufisadi nchini EACC imerudisha ekari 17 za ardhi ya umma kutoka msitu wa Karura kwa shirika la huduma za misitu nchini. Ardhi hii ya thamani ya shilingi bilioni 2.8 ilihusishwa na waziri wa zamani hayati JJ Kamotho. Mahakama ya mazingira na ardhi sasa ikiagiza kufunguliwa mashtaka kwa maafisa wawili wa ardhi waliohusishwa na uporaji huo