1 Oct 2025 1:42 pm | Citizen TV 301 views Duration: 1:54 Tume ya kupambana na ufisadi EACC imeshirikiana na serikali za kaunti kubuni kamati za kuzuia visa vya ubadhirifu wa pesa za umma kwenye serikali hizo.