- 200 viewsTume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC sasa inataka mageuzi ya kisheria kupewa mamlaka zaidi kukabiliana na ufisadi nchini. kwenye ripoti yake ya kila mwaka pia ikitangaza kufanikiwa kuokoa mali ya ufisadi ya shilingi bilioni 3.4 katika mwaka wa kifedha uliopita. EACC inapendekeza sheria kali dhidi ya wahusika wa ufisadi