Skip to main content
Skip to main content

EACC yatoa mafunzo ya kukabiliana na ufisadi vyuoni

  • | Citizen TV
    211 views
    Duration: 1:58
    Tume ya madili na kupambana na ufisadi EACC imefanya vikao na wakuu wa taasisi za elimu ya juu na sekta ya umma kuhusu njia za kukabiliana na ufisadi kwenye taasisi hizo.