Skip to main content
Skip to main content

Eid yaunganisha Waislamu, viongozi wakemea siasa chafu

  • | Citizen TV
    537 views
    Duration: 4:39
    Sherehe za Eid ul Fitr zilinoga kote nchini huku waumini wa dini ya Kiislamu wakiungana na wenzao kote duniani kuadhimisha kukamilika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Sherehe hizo zilishamiri rai za viongozi wa dini na Waislamu za kuwataka wanasiasa kukomesha siasa chafu za matusi.