El Nino kunyesha ziwani Victoria, magharibi na Rift Valley

  • | Citizen TV
    1,768 views

    Serikali imetangaza kuwa mvua kubwa ya Elnino itanyesha maeneo la ziwa Victoria, kaunti za magharibi mwa kenya na kusini mwa bonde la ufa kuanzia kesho hadi ijumaa wiki ijayo. Mvua hivyo itaandamana na dhoruba kali. Huku hayo yajitarajiwa, wamiliki wa hoteli fuoni mwa ziwa Turkana wanakadiria hasara ya mamilioni ya pesa baada ya maji kujaa ziwani na kuelekea katika nyumba zilizo karibu baadhi zikididimia kabisa