Ripoti ya kamati ya fedha kuhusu mswada wa fedha wa mwaka 2024

  • | K24 Video
    27 views

    Mtazamaji, runinga ya k24 kwa njia ya kipekee imepata ripoti ya kamati ya fedha kuhusu mswada wa fedha wa mwaka 2024 ambayo sasa imeondoa ushuru wa asilimia mbili nukta tano kwa magari, ushuru wa mapato wa asilimia kumi na sita kwa mkate na vilevile mamlaka ya kukusanya ushuru nchini kra kunyimwa nafasi ya kuchunguza akaunti za benki na mpesa. Ni afueni kwa viwanda vya humu nchini baada ya ushuru wa mazingira maarufu eco levy kuondolewa kwa bidhaa zinazotumika kutengeneza vifaa ,na badala yake kuwekwa kwa vifaa vilivyokamilika vinavyoagizwa kutoka mataifa ya nje. tazama