Eldoret: NiE yatua katika shule ya Msingi ya Potters House Academy

  • | NTV Video
    56 views

    Shule ya Msingi ya Potters House Academy iliyoko Jijini Eldoret Kaunti ya Uasin Gishu, imejiunga rasmi na mradi wa Newspapers in Education, NiE, unaoendeshwa na shirika la habari la Nation kwa azma ya kupiga jeki ufunzaji wa masomo ya lugha za Kiswahili na Kiingereza.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya