Eldoret: Vijana walazimika kugeukia biashara ndogondogo ili kujikimu kimaisha

  • | NTV Video
    144 views

    Katika taifa ambapo shahada imekuwa alama ya matumaini, hali halisi inazidi kubadilika kwa kasi. Mjini Eldoret, vijana wanaohitimu kutoka vyuo vikuu wanakutana na soko la ajira lisilo na nafasi, wakilazimika kugeukia biashara ndogondogo au kazi zisizohusiana na taaluma zao ili kujikimu.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya