7 Mar 2026 7:44 pm | Citizen TV 349 views Duration: 1:55 Gwiji wa Olimpiki Eliud Kipchoge, kwa ushirkiano na chuo kikuu cha Daystar amezindua mashindano ya kwanza ya L.A.P half marathon kuimarisha maslahi ya wanafunzi na usaidizi wa ufadhili wa masomo katika chuo hicho.