- 51 viewsHuku zoezi endelevu la usajili wa wapigaji kura likikamilika kote nchini, eneo bunge la Lamu Magharibi limesajili watu 1000 zaidi ya wale waliotarajiwa na IEBC. Eneo hilo likisajili wapiga kura wapya 7,700 ikilinganishwa na matarajio ya IEBC ya watu 6,700.