Eneo la Archers Post kaunti ya Samburu lakabiliwa na ukosefu wa maji safi

  • | Citizen TV
    608 views

    Wakazi wa mji mdogo wa Achers Post katika kaunti ya Samburu wamelalamikia ukosefu wa maji safi ya kunywa. Wakazi hao wanasema mafuriko yanayotokana na mvua kubwa inayoendelea kushuhudiwa eneo hilo yamesababisha uharibifu wa mabomba ya maji na kupelekea ukosefu wa maji eneo hilo