Ernest Mwanzia alazimika kusalia nyumbani kwa zaidi ya miaka miwili kwa kukosa karo

  • | K24 Video
    244 views

    Ndoto ya Ernest Mwanzia kuwa rubani huenda isitimie kamwa kwani amekosa salio la karo la takriban shilingi milioni tatu. Ernest ambaye alijiunga na chuo cha mafunzo ya uruban kilichoko katika uwanja wa ndege wa Wilson mwaka wa 2018, amelazimika kusalia nyumbani kwa zaidi ya miaka miwili huku akijishughulisha na kazi za shamba katika kutafuta karo.