Esther Mbagari aibuka mshindi katika mbio za mbio za mita mia moja

  • | Citizen TV
    755 views

    Esther Mbagari Kutoka Idara Ya Magereza Ndiye Bingwa Wa Taifa Wa Mbio Za Mita 100 Akina Dada Baada Ya Kushinda Na Muda Wa Sekunde 11.78. Mbagari Alihifadhi Taji Aliloshinda Mwaka Uliopita Alimpiku Doreen Waka Aliyemakiza Wa Pili Katika Uwanja Wa Ulinzi Complex.