- 814 viewsDuration: 1:29Kinara wa DAP-K Eugene Wamalwa ametaka serikali ya Kenya Kwanza kutekeleza manifesto yake na ahadi ilizotoa kwa wananchi badala ya kuendesha siasa za kutaka kugawanya upinzani. Akiongea huko Transzoia, Wamalwa amekariri kuwa atakuwa analenga kupeperusha bendera ya upinzani mwaka 2027