Fahali wamshambulia na kumuua mfanyikazi wa seneta wa kaunti ya Kakamega Bony Khalwale

  • | KBC Video
    210 views

    Mwanamume mmoja aliye na umri wa miaka 47, ambaye ni mfanyikazi wa seneta wa kaunti ya Kakamega Bony Khalwale, amefariki baada ya kushambuliwa na fahali kwenye makazi ya seneta huyo katika kijiji cha Malinya eneo bunge la Ikolomani kaunti ya Kakamega.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive