Skip to main content
Skip to main content

Fahamu umuhimu wa ziara ya Beijing kwa viongozi wa Korea kaskazini na Urusi.

  • | BBC Swahili
    13,641 views
    Duration: 7:10
    Viongozi wa China na Urusi wameonyesha mshikamano mkubwa wakati Rais Xi Jinping akiwapokea jijini Beijing. Wawili hao wamefanya mazungumzo kabla ya gwaride kubwa la kijeshi litakalofanyika kesho, kuadhimisha miaka 80 tangu kumalizika kwa vita vya pili vya dunia. Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-Un, pia anafanya ziara isiyo ya kawaida kujiunga nao. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw