Fahamu vazi la 'Bisht' na mengine yalivyovutia mashabiki Qatar

  • | BBC Swahili
    611 views
    Wakati Kombe la dunia likielekea ukingoni mashabiki wa mpira kutoka sehemu mbambali duniani waliopo Doha Qatar wameonesha kuvutiwa na mitindo ya mavazi ya kitamaduni ya Waarabu. Raia mmoja wa Qatari, ambaye familia yake imefanya kazi katika tasnia ya mavazi ya nchini humo kwa miongo kadhaa, alitupa mwongozo wa jinsi mitindo ya mavazi ilivyoathiri mashindano hayo. #bbcswahili #argentina #france