Fainali za magharibi Chapa Dimba na Safaricom zakaribia

  • | Citizen TV
    385 views

    Kipute cha Safaricom Chapa Dimba kimeingia katika fainali za kanda ambapo zamu ya ukanda wa magharibi itaandaliwa agosti 26 na 27 ugani bukhungu kaunti ya Kakamega. Jumla ya timu 8 za wavulana na wasichana kutokakaunti nne za ukanda wa magharabi zitamenyana kutoa wawakilishi wa fainali za kitaifa.