Familia 60 kutoka Lamu zapokea mifugo, vibanda vya nguo na chakula kutoka shirika la Direct Aid

  • | Citizen TV
    479 views

    Familia zaidi ya 60 kutoka Jamii za wafugaji wa mapato ya chini wakiwemo walemavu katika eneo la Witu Kaunti ya Lamu wamepokea mifugo, vibanda vya nguo na chakula kutoka shirika la kibinafsi la Direct Aid ili kuwaweze kujiendeleza kimaisha .