'Familia bandia' zinavyowapa faraja waathirika wa kimbari

  • | BBC Swahili
    423 views
    Hii ni baada ya miaka 30 ya mauaji ya kimbari nchini Rwanda, familia bandia zimesaidia maelfu ya manusura wa mauaji ya halaiki dhidi ya Watutsi kujenga upya matumaini yao baada ya kuwapoteza wazazi wao. Watoto waliopoteza wazazi wao hujikuta wakitafuta makazi na matunzo. Wanakutana na Yatima wengine na kuishi pamoja kama kaka na dada. Mkubwa zaidi alichukua madaraka ya mama na baba halisi na kuwapa faraja ya familia #bbcswahili #familia #Rwanda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw