Skip to main content
Skip to main content

Familia Baringo zahama hofu ya maji kuibuka ardhini

  • | Citizen TV
    196 views
    Makumi ya familia katika kijiji cha Olko-kwee, Kaunti ya Baringo, zimehama makao yao kwa hofu ya kusombwa na maji yanayoendelea kujaa kutoka ardhini. Wakazi wanasema hawajawahi kushuhudia hali hiyo hapo awali, huku wanajiolojia wakichunguza uwezekano wa kuibuka kwa ziwa jipya katika eneo hilo, kama Chrispine Otieno anavyoarifu.