Familia Carlifonia yalilia haki ya kifo cha jamaa wao

  • | Citizen TV
    4,547 views

    Polisi hapa Nairobi wanachunguza mauwaji mengine ya kijana wa miaka 25 katika mtaa wa Eastleigh. Abdirahim Ibrahim alipatikana ameuwawa kwa kupigwa risasi jana usiku huku kanda za CCTV zikinasa namna mshukiwa alivyotekeleza mauwaji. kumuwacha binti ambaye sasa anaaminika kuwa mshukiwa mkuu.