20 Jul 2026 10:10 am | Citizen TV 1,207 views Duration: 2:22 Familia moja huko Bula Golol kaunti ya Garissa inataka kujua aliko jamaa yao anayesemakana kutekwa nyara na watu wanaoaminika kuwa maafisa wa usalama katika eneo la Hulugho.