Familia kadhaa kutoka Mowlem zalala nje kwenye kibaridi

  • | KBC Video
    141 views

    Familia kadhaa zililazimika kulala nje kwenye kibaridi katika sehemu ya Mowlem jijini Nairobi jana usiku baada ya kundi la watu linaloaminika kutoka serikali ya kaunti ya Nairobi kuwafurusha na kubomoa nyumba zao. Wakazi hao wanaodai kumiliki ardhi hiyo inayozozaniwa sasa wanamtaka gavana Johnson Sakaja aingilie kati na kuzuia ubomoaji wa nyumba na uharibifu wa mali zaidi.Joseph Wakhungu anatueleza zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News