Familia kadhaa zinaomboleza vifo vya wapendwa Wao

  • | Citizen TV
    439 views

    Idadi ya watu waliofariki kufuatia ajali za barabarani imefikia watu 60, baada ya watu kumi zaidi kufariki kaunti za Makueni, Nakuru na Tana River