- 577 viewsFamilia moja mtaani Mihango’o huko Kayole inataka maafisa wa upelelezi kumtia nguvuni mshukiwa anayehusishwa na mauaji katili ya mtoto wao wa umri wa miaka 23… Familia ya Ann Muthoni Ngunjiri inadai msichana huyo alifuatwa na rafikiye wa kiume hadi nyumbani kwake ambapo mshukiwa alimshambulia na kumuua kwa kumdunga kisu. Na kama anavyoarifu franklin wallah, mshukiwa hajulikani aliko